Busara itumike
Ndiyo hivyo bhana Auntie....
Sawa My Dear......mbona kishkwambi tulishaelewana dear, mimi wamesema hawatanilipa ila watanipa hii gadget basi nikiichukia, na ukaiona, basi hesabu ni yako

huyo mzungu ilikua lzm afukuzwe ,jeuri sanaNdiyo hivyo Bwana Auntie....
Kabisa Swahiba...huyo mzungu ilikua lzm afukuzwe ,jeuri sana
Naomba aondoke na mzungu wake tu huyu mzee sijui alikuwa anajiona nani kila mtu hamtakiNdiyo hivyo bhana Auntie....
Ndiyo hivyo...kawaacha asiowataka....Naomba aondoke na mzungu wake tu huyu mzee sijui alikuwa anajiona nani kila mtu hamtaki
Ameondoka yeye kawaacha asiowataka
Sanaaa masikini na anavyotengwa na wenzie uwanjani sijui itakuwaje kikubwa kocha kaondokaNdiyo hivyo...kawaacha asiowataka....
Ila Mzungu namuonea huruma jamani....
niko poa kbs .swahiba cjui wewe unaendeleajeKabisa Swahiba...
Hata mimi nililiona hilo....
Unaendeleaje lakini?
sasa ndo aoneshe udhungu wakeNdiyo hivyo...kawaacha asiowataka....
Ila Mzungu namuonea huruma jamani....
Yaaaaani Mungu Amsaidie aiseee....Sanaaa masikini na anavyotengwa na wenzie uwanjani sijui itakuwaje kikubwa kocha kaondoka

Naendelea vyema sana Swahiba....niko poa kbs .swahiba cjui wewe unaendeleaje