Makapuku Forum

Makapuku Forum

Khaaaa ukajua kikuu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we na ye hamna tofauti mnayabili tu
Hello shunila/shunie nimeshiriki shindano kule stories of change uzi wangu ni huu SoC 2022 - Nimfiche wapi Binti yangu?

Ukipata muda unaweza kuupita na kulike usisahau ku-vote.

Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza(maana nimejaribu kukufikia PM ila nimekuta kufuri)

Thanks in Advance
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseeee....Hebu Mwambie afanye namna basi kile kishikwambi....Ili anipatie[emoji1]
...mbona kishkwambi tulishaelewana dear, mimi wamesema hawatanilipa ila watanipa hii gadget basi nikiichukia, na ukaiona, basi hesabu ni yako
 
Back
Top Bottom