Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Jamani hongera sana we mzeeMwaka huu airtel wamenipa Tsh.7,544.22. Hili ni gawio la kunitosha miezi mitatu nikisubiri lingine [emoji3][emoji3]
Jamani hongera sana we mzeeMwaka huu airtel wamenipa Tsh.7,544.22. Hili ni gawio la kunitosha miezi mitatu nikisubiri lingine [emoji3][emoji3]
Ahsante sana mama Muinjili.Hahahaha hatujambo mama mchungaji karibu bwana
Sasa hii buku saba naipeleka wapi, au nimeshakuwa wa lumumba tayari [emoji3][emoji3]Jamani hongera sana we mzee
BUSARA ni jina linatosha kabisaEbu tujadili apa ebu tuchague auntie Hadde Espy Atoto jina gani jamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba unanitamanisha
Hivi ukiwa na hela ndio uzitumie hovyo hovyo tu. Wapandishe vitu utulie tu kwakuwa unazo!!![emoji849][emoji849][emoji849]Ukiona mafuta yamepanda bei kidogo, halafu unalalamika kama myukreini...wewe ni kapuku
Ukiona maza hapandishi mshahara, halafu wewe unalalamika kama ugali na dagaa sio msosi...wewe ni kapuku
Ukiona joto kidogo tu likiongezeka, halafu unalalamika kama huna hela ya kununua feni au eisii...wewe ni kapuku
Ukiona bando zimepanda kidogo tu, halafu unalalamika huna hela ya bando...wewe ni kapuku
Naweza nikaendelea na kujaz aseva za jeiefu
We tangu shetani akukabidhi mikoba hata mwenyewe haamini miujiza yenye unafanya.Sasa ngoja uone namna kabinti kako katavyonasa kwenye ulimbo kakija msalimia dada yake...
Wazee wanaleanaje? Tunamhitaji binti yetu atushikie mkongojo.Hebu tafuta mzee mwenzio wa kukulea, eboh
Ndio umeachiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alikuwaga ana comment anaweka dot dot,[emoji1]
Kwendraaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah ngoja na mods watusaidieEbu tujadili apa ebu tuchague auntie Hadde Espy Atoto jina gani jamanii
Aaah nyehungeeee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimandolu wewe....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini Filikunjombe sasa jamani?
Yaani hakauki kabisa, changamoto kubwa hii[emoji134][emoji134][emoji134]Nyuzi zako hizo[emoji38]
Naambiwa umesubscribe kabisa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kana matusi ya rejareja haka kamkwe kangu
Good evening love, umeshindaje?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nipo nazurura tu huko majukwaani
Good morning momma
Yaani huyo ni kibaka mzoefu, panya road aloshindikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona vibaka eti
Thats my mommy