Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23] Eenh auntie 478 miamala ninayoifanya sio wa kupewa hiko kiasi hivi wanazingatia vigezo gani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani wanaangalia kiwango unachofanya na kwa mara nyingi kiasi gani...

Mimi gawio langu siyo poa aiseee....
Ni aibu.... woiiiii
 
Hahah...ukapuku utaendelea tu

Muda si mrefu kwenda Mbezi, Kiluvya, sijui Kibamba huko inakuja tozo ya kupita kwenye barabara yao hiyo mpya...
Nimeisoma sehemu nikasikia mchozi wanitoka😀😀😀
Hakyanani ukapuku hauepukiki, kama tozo ya king'amuzi tu..yaani buku buku tunalia hivi...basi sisi ni makapuku Pro max😀😀
 
Back
Top Bottom