alafu acha nikaushe natoka siri boss tajiri dada πππ
Unafikiri ni kwa mjomba wako huko eeh?Wakati naichungulia Yerusalemu kwa mbali
lift mie nipo mzigoni nakusakya makopo ya maji .. au lift ya kwenda wapi tena ππ
Suala la lift mbona unanikataa lakini?
Niambie - poa
Mambo vipi - safi
Unaendeleaje - poa
Mziwa wewe - ndio
.
.
.
.
.
Yaani ni mlolongo wa salamu tu, hata kipindi cha kutuma salamu redioni hakiko hivyo woooi!
Huyu hajinenei, tayari yuko kwenye ulimwengu halisi. Sie ndio bado tuko kunakofikirika
Hapana binamu sio hivyo kuna ile inbox salaam haziishi hapana jamani...hupendi kusalimiwa na kushukuriwa aunt!!!? Salam ni upendo, utanifanya niache kumsalimia Makiwendo sababu baada ya salamu huwa sijui niandike jambo gani jingine π
Asante kwa kusoma
Nawasalimia wote bila kujali mmeamkaje na nnawatakia siku nzuri
Auntie hata wewe?? Ni sawa...
Watu na mapenzi yao auntie sisi sijui tunafeli wapiiiiNiko hapa Auntie....
Huba lipo site...
Eeenh mama wa jeep huyooLeo asubuhi alikuwa karipaki pale hotelin walipo mtekea Mudi, sijui nae ni member pale.. hapendi sana show off
Tuendelee tu kuota auntie, one day yesSasa na sie tufanyeje
Na sasa hivi ana Range Rover Autobiography jipyaa namna DZD..Anafanya siri hajawahi tuambia kabisa kama ako na jeep
Auntie.
Acha hizo HM.... sasa wewe hadi umejua kina Shunie wasijue kweli?
Si unaona hadi wao wanashangaa tu
Mwambie basi atununulie hata ka ist tuNa sasa hivi ana Range Rover Autobiography jipyaa namna DZD..
ist kitu gani kwake.. wafanya kazi wake wote aliwachukua Crown GRS204 na Mercedez Benz C250 CGI .. muambie akuchukulie Benz yake hata E350 hashindwi huyo, mwenzako simu moja tu pale CFAO.Mwambie basi atununulie hata ka ist tu
ist kitu gani kwake.. wafanya kazi wake wote aliwachukua Crown GRS204 na Mercedez Benz C250 CGI .. muambie akuchukulie Benz yake hata E350 hashindwi huyo, mwenzako simu moja tu pale CFAO.