Wakala wa Ufundi na Umeme (TAMESA) leo umetangaza kufikia makubaliano na Kampuni ya Azam Marine kutoa huduma ya kuvusha Abiria kati ya Magogoni na Kigamboni ili Wananchi wapate huduma ya uhakika wakati huu ambao Wakala unaendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake “Tunawashauri Wananchi wasitumie mitumbwi kwa ajili ya usalama wao” View attachment 2259912
Mimi pia jamani na salam salam zisizoisha mtu anakuja kila siku mambo shunie, kesho ukiamka unakuta habari za asubuhi jamanii bora hata usalimie kikristo habari za asubuhi kweli nasoma huku nasonya