Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,355
HM, HM, HM,Mie ningekuwa jirani yako Boss dada ningenenepa mbona.. huku napo kaa hiyo Jeep yako itapita wapi maana tubboda boda haiingii huku uswazi kwetu
Nimekuita mara tatu[emoji23]
Kesho nipande Lile lako basi[emoji2]