Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,841
- 183,059
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji39]Mmmmmh!!! Nini???
Umbea tuu..
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji39]Mmmmmh!!! Nini???
Umbea tuu..
Tajiri nyehunge![emoji1787]Mmmh!!!!
Mbona una nongwa sana Binti?[emoji2]
Shida ni gani wewe Nyehunge?[emoji2]
Sijakuelewa hapa shemNapokea hela ya kifurushi...
Kazi anayofanya ni njema...
Nifundishe kwanza kikwenu...Nifundishe basi.
When? How?[emoji2]Ngeli which, who,where?
😒😒😒 Boss dada .. weekend gani tena.. nipo nimelala zangu tu huku uswazi kwetu.. baada ya kazi za kanjibaiHeshima yako Tajiri...
Naona kwako Umeianza Weekend tayari..
[emoji23][emoji23][emoji23]Jambazi.
Ndio mabasi yake yale 😳😳Tajiri nyehunge![emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanajibu, ila jibu lao "wewe ndio malikia pekee wa moyo wangu". Unaitikia tu sawa baba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tajiri nyehunge![emoji1787]
Si umeshukuru kwa kazi nzuri anayofanya Shem?Sijakuelewa hapa shem
Kilivyo kigumu...Utakiweza?Nifundishe kwanza kikwenu...
Upo Uswazi Ipi hiyo Kaka Tajiri?[emoji19][emoji19][emoji19] Boss dada .. weekend gani tena.. nipo nimelala zangu tu huku uswazi kwetu.. baada ya kazi za kanjibai
Utafutaji mama na ukumbuke ahadi yangu ya kuhakikisha na kuhudumia kwa asilimia miaMmmmh!! Sasa huwa unafichwa wapi? Hata kunisahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mabasi yake yale [emoji15][emoji15]
Mi huwa naweza kujibu ila inategemeana na mudi ya siku hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna Mwanaume huwa anajibu hili swali?
Mie ningekuwa jirani yako Boss dada ningenenepa mbona.. huku napo kaa hiyo Jeep yako itapita wapi maana tubboda boda haiingii huku uswazi kwetuUpo Uswazi Ipi hiyo Kaka Tajiri?
Inawezekana ni jirani yangu wewe[emoji23]
Naaaaaam...Utafutaji mama na ukumbuke ahadi yangu ya kuhakikisha na kuhudumia kwa asilimia mia
Nisipo tafuta wataniibia wenye uwezo wa kuhudumia
Mwanamke kama wewe unahitaji matunzo
Hivyo ili nikutunze lazima nizitafute kwel kweli
Mabasi mazuri sana, hongera Tajiri Boss dada.. kuna siku nilipanda la kutoka mwanza kwenda Arusha zuri kweli kweli 😁😁 nipo hata kazi ya u TO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacheni hizo Wazee!!!
Hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanajibu, ila jibu lao "wewe ndio malikia pekee wa moyo wangu". Unaitikia tu sawa baba.