Makapuku Forum

Hawajamfaidii huyu mtu
 
Daaaah M12 , viumbe adimu vinazidi kupukutika kwenye kabumbu
 
Hahahaaa eehh mama siku hizi mambo yao tunawaachia wenyewe

Kadiri miaka inavyozidi kuenda taratibu naanza kupoteza interest kubishana mada za namna ile

Halafu pia nimegundua kuna watu wananichukulia kauzu na mkali kumbe yani wangejua daah
Wangejua ulivyo mayai mayai mdada wangu upo soft kabisa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ msalimie dada tajiri Makiwendo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…