Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Lazima nije na auntie makiiiHaya njoo[emoji1787][emoji1787]
Lazima nije na auntie makiiiHaya njoo[emoji1787][emoji1787]
Yaani nakukaribisha na wewe unakaribisha[emoji134][emoji134][emoji134]Kama kipo dar nitakuja na mimi auntie makiii ufanye unipeleke
Kama ulikuwepo, yaani kuku wa kienyeji kachomwa akachomeka. Na kachupa pembeni acha auntie yangu[emoji1787]Auntie usitufanyie hivyo sio kwa kuku jamaniii tena zitakuwa za kuchoma eenh uwe na ndizi pembeni na chupa za kijani daah
Mbona nimepumzika sasa ni miaka mitano auntie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapumzika week utarudi nakujua vyediii
Woooi! Ole wako.Lazima nije na auntie makiii
Karibu mtoto mlitoNyieee jamaniii nakuja na mimi
Hahaha ya kiyunaniBiblia gani hiyo?
Nyie mshajichafua wenyewe, hamuhitaji kuchafuliwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna kijiwe kipya hiko mataa, ukija nitakupeleka. Ngoja nikirudi maana huku si hutaki kuja[emoji57]
Jambo mremboWoooi! Ole wako.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kama ulikuwepo, yaani kuku wa kienyeji kachomwa akachomeka. Na kachupa pembeni acha auntie yangu[emoji1787]
Hongera Boss wangu..Boss dada mwenyewe
Mie mzima kabisa boss wangu.. kwa kanjibai tunapambana [emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nitawaroga nyie subirini[emoji1787]
Thubutu....Hata mimi nimepumzika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti I aint you're Mama... Nyau[emoji2]Hivi nina signature[emoji849][emoji849][emoji849]
Weeeh inasemaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]I aint your mama hahaa
Kweli Wewe ni mpole sana...Jamani mimi mbona ni mtulivu siku zote
Mimi hujanimiss?Njoo basi totoo, mama miss you jamani. Ukuje tu sasa tukale kuku.
[emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa Maksi [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba na me kuja jamani mate yamenitoka eti