Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,854
- 183,113
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu akiwa na ID mbili zitaunganishwa siku hiyo hiyo..
Hajui kujificha...
Nilipigwaga ban nikafungua id nyingine badala nirudi mtulivu nikaliendeleza. Si wakaziunga nikarudi kwenye ban[emoji134][emoji134][emoji134]
Ikabidi nitulie tu ban iishe.