Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,191
- 35,354
Huyo simtumii Auntie...labda Hadde..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nimwambie auntie maki akuforwadie
Huyo simtumii Auntie...labda Hadde..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nimwambie auntie maki akuforwadie
Hata hili linakaa poa sana...usibadili tenaHahaha tatizo karma imeshachukuliwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukawii kuja kubambikwa kesi isiyokuhusu jamani
Naaaaam!!!Shem squaree
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heshima yako mkuu wangu ! Nilikuona pale upo na wazito wenzako nikapunga mkono sijui uliona
Nasemaje..Platinum bora wanipe mimi[emoji23]acheni hizo dada zangu wazuri, kunifanyia fitina tena hiyo wewe tu unaimaliza
Basi kwakua unataka acha mie nikulipia dada yangu .. ili na mie nikikuotea maeno yako usiwe mgumu hata kunipa ticket ya dubai kwenye majira ya sikukuu ila dada Hadde ndio anakaza kweliNasemaje..Platinum bora wanipe mimi[emoji23]
Na aione Max hii comment..
😄😄😄 haya dada yangu Boss acha nikuache maana hapo najua kulala alfajiri maana sijui nyie mataniri mna nini na usingizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Kijana...acha hizi mambo basi HM....
Ujue nacheka sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi kwakua unataka acha mie nikulipia dada yangu .. ili na mie nikikuotea maeno yako usiwe mgumu hata kunipa ticket ya dubai kwenye majira ya sikukuu ila dada Hadde ndio anakaza kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] haya dada yangu Boss acha nikuache maana hapo najua kulala alfajiri maana sijui nyie mataniri mna nini na usingizi
nalalaje ndio nimeingia shift ya usiku kwa kanjibai hapa 😬😬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu lala basi....
Atakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lake mwenyewe nadhani anatumia ME yule...anajiita espy[emoji23]
Nashukuru langu hawajaliiba...Atakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu mmoja ila auntieAtakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ye ana nini auntie basi piga video kolu tuongee woteHuyo simtumii Auntie...labda Hadde..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie hizo mambo za mahubiri mbona ninazo mimi sema lile jambo letu siwezi kumdanganya Mungu wangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivyoanza kusoma nimepata na mshituko ghafla Auntie....
Nikasema lile jambo letu limeanza taratibu nini?
Nakuelewa vizuri auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikujazi Auntie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aah kuelewa sio shida zangu[emoji1787][emoji1787]
Nataka picha.
Auntie si umeona namna kanisema...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ye ana nini auntie basi piga video kolu tuongee wote