Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Na wewe nilikutana na pacha wako😂😂Wametuamulia, ukiliacha jina wanalibeba.
Na wewe nilikutana na pacha wako😂😂Wametuamulia, ukiliacha jina wanalibeba.
Unaweza kurudi na The Real Karma au The Original Karma.Yani yule mtu hadi nilitamani nimfuate pm sema ndiyo hivyo maana nimegundua watu wengi wamelizoea karma utafikiri langu jamani
Hahaha kulipenda mimi kama mimi no ila nimegundua watu wengi wanalipenda na wamelizoea hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unalipenda!!
Yani acha tu nkamu halafu sijui ni me yulePole nkamu. Kuna siku na mimi nimekutana na Ile ID nikabaki kushangaa.
Hahaha ndugu si unajua watu wa jf watakavyochukulia lakiniUnaweza kurudi na The Real Karma au The Original Karma.
Yaani[emoji134][emoji134][emoji134]Na wewe nilikutana na pacha wako[emoji23][emoji23]
Nimegundua kati ya hayo yote ni karma pekee ndilo nalikumbuka.Hahaha kulipenda mimi kama mimi no ila nimegundua watu wengi wanalipenda na wamelizoea hilo
Sababu watu wengi utasikia "wewe ni karma enh" sasa kwanini siyo edelyn, marianah, zoe au lovelucky
I do It for my people [emoji16][emoji16]
Ok ...pilau vipiiSipo mpaka kesho kutwa kuanzia asubuhi
🤣🤣🤣🤣🤣MITHALI 10:1-25 SUV
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye. Hazina za uovu hazifaidii kitu;
Auntie Espy Atoto picha hiyo ya mama yake Ronaldo akiliaView attachment 2253810
Nimekuwa mvivu siku hizi kupika nyumbani kiukweli sipikiOk ...pilau vipii
Si ulitaka picha auntie ya mama akilia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mmojawapo kiukweli nimelizoea karmaHahaha kulipenda mimi kama mimi no ila nimegundua watu wengi wanalipenda na wamelizoea hilo
Sababu watu wengi utasikia "wewe ni karma enh" sasa kwanini siyo edelyn, marianah, zoe au lovelucky
I do It for my people [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ukae kwa kutulia tu naleta habari zilizo ndani ya uwezo wanguSasa si ndio uendelee kujitolea, kwanini unipangie?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amani anaipata wapi baada ya kunifanyia mambo meusi[emoji134][emoji134][emoji134]
Yaani me ndio huwa sijali mtu aniambie yupo na picha zangu zipo zina sambaa wasambaze tu kwa amani ya bwanaHaha naelewa mama mimi acha tu wasambaze hamna kipya maana najua hicho wanachokitafuta hata hakipo
Mweeeh! Sawa.Si ulitaka picha auntie ya mama akilia
Leta na zilizo nje, kikuu atakulipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ukae kwa kutulia tu naleta habari zilizo ndani ya uwezo wangu
Nami mnitumie.Yaani me ndio huwa sijali mtu aniambie yupo na picha zangu zipo zina sambaa wasambaze tu kwa amani ya bwana
Naona auntie husomi na kuelewa si etiNami mnitumie.
Alipe kwanza nilete na za yangaLeta na zilizo nje, kikuu atakulipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]