Asante kwa kushukuru mubebe [emoji3059]Asante shunie kwa magazeti
Sio kwa kukumis huku lakin...Asante kwa kushukuru mubebe [emoji3059]
Thank you. I love you mama Muinjili🥰🥰🥰Hahahah kunichokoza huwezi mama mchungaji na haitatokea ila me ndio unifate pm ukiona nimekosea kitu uniseme tu unavyoweza unishauri unavyoweza. [emoji120][emoji120][emoji3059][emoji3059]
Hahaha tatizo karma imeshachukuliwa sasaHahahaha unatia huruma karma me kiukweli I'd zako unazobadili siziwezi jamani nimeshazoea kukuita karma
Heheh jf tena kwa kutembeza picha za watu yaani wengine hapa zetu nahisi ndiyo wamegawana hadi wamechokaKwa watu huko mama zinatembea tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shukrani ya punda mateke bwana auntie nimekuzoea [emoji1787][emoji1787]
Aaah kikuu! Kumbe upo!Asante shunie kwa magazeti
Hahahaha kwan ushatambulishwa kwa jumia auAaah kikuu! Kumbe upo!
Wametuamulia, ukiliacha jina wanalibeba.Hahaha tatizo karma imeshachukuliwa sasa
😆😆Heheh jf tena kwa kutembeza picha za watu yaani wengine hapa zetu nahisi ndiyo wamegawana hadi wamechoka
Mnagawana kindugu? Mbona mimi hamnigawii?Heheh jf tena kwa kutembeza picha za watu yaani wengine hapa zetu nahisi ndiyo wamegawana hadi wamechoka
Nini jumia, amazon kabisa.Hahahaha kwan ushatambulishwa kwa jumia au
Hapo kweli kikuu lazima uone wa ajabuu....Nini jumia, amazon kabisa.
Nimekumiss pia jamaniSio kwa kukumis huku lakin...
Love you more mama mchungaji [emoji3059][emoji8] be blessed [emoji120][emoji120] Mungu azidi tu kukuweka kwa ajili yetu sisi uzidi kutupa hekima na busara na maushauriThank you. I love you mama Muinjili[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mmh kwamba member mwingine kaibebaHahaha tatizo karma imeshachukuliwa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo kugawana unafikiri zako tu mama mpaka wakina sie ila tunaona kawaida tuHeheh jf tena kwa kutembeza picha za watu yaani wengine hapa zetu nahisi ndiyo wamegawana hadi wamechoka
Unazotaka nini eti auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninazotaka kwanini huleti?