Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah kikuu! Kumbe upo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah kikuu! Kumbe upo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnagawana kindugu? Mbona mimi hamnigawii?
Sijui nipite kesho?Nimekumiss pia jamani
Sipo mpaka kesho kutwa kuanzia asubuhiSijui nipite kesho?
Endelea kujifariji kikuu[emoji1787][emoji1787]Hapo kweli kikuu lazima uone wa ajabuu....
Ila ntabakii kuwa server [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wakizengua nazima kabisa
Habari[emoji1787]Unazotaka nini eti auntie
Yani yule mtu hadi nilitamani nimfuate pm sema ndiyo hivyo maana nimegundua watu wengi wamelizoea karma utafikiri langu jamaniWametuamulia, ukiliacha jina wanalibeba.
Haha hatari sana Mkuu Lucius[emoji38][emoji38]
Hahaha si bora hata ingekuwa kindugu ni kibabe yaaniMnagawana kindugu? Mbona mimi hamnigawii?
Yani acha tuMmh kwamba member mwingine kaibeba
Auntie acha kunikoseshea babe wangu amaniEndelea kujifariji kikuu[emoji1787][emoji1787]
Hivi kwani unanilipaaaa si naamua kujitolea tu mwenyewe jamaniHabari[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kwenye kiubabeHahaha si bora hata ingekuwa kindugu ni kibabe yaani
Haha naelewa mama mimi acha tu wasambaze hamna kipya maana najua hicho wanachokitafuta hata hakipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo kugawana unafikiri zako tu mama mpaka wakina sie ila tunaona kawaida tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani yule mtu hadi nilitamani nimfuate pm sema ndiyo hivyo maana nimegundua watu wengi wamelizoea karma utafikiri langu jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie acha kunikoseshea babe wangu amani
Hahahahahahaah karmaHaha hatari sana Mkuu Lucius
Sasa si ndio uendelee kujitolea, kwanini unipangie?Hivi kwani unanilipaaaa si naamua kujitolea tu mwenyewe jamani
Ameeen. I receiveeeee 🙏🙏🙏🙏Love you more mama mchungaji [emoji3059][emoji8] be blessed [emoji120][emoji120] Mungu azidi tu kukuweka kwa ajili yetu sisi uzidi kutupa hekima na busara na maushauri
Pole nkamu. Kuna siku na mimi nimekutana na Ile ID nikabaki kushangaa.Yani yule mtu hadi nilitamani nimfuate pm sema ndiyo hivyo maana nimegundua watu wengi wamelizoea karma utafikiri langu jamani