Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Jana alikuwa na baba yake rihana picha zinatembea tuYaaaani!!!
Siku zote mimi najua amesharudi...
Jana alikuwa na baba yake rihana picha zinatembea tuYaaaani!!!
Siku zote mimi najua amesharudi...
Hata Chelsea wajua ushindi uko peupe akashukiwa na kitu kizitoMan uwakiwa wamelala si eti. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii sio chelsea
Itakesha hii..Hii mvua jamaniiiii [emoji847][emoji847]
Jumamosi na jumapili naingia kwa muhindi wangu asubuhi kutoka jioni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahhaha kamtaja sasa huyo tapeli humu jfKuna Mkijana wa watu huko katapeliwa 20 yake maskini...
Kikubwa uhaiiiiiJumamosi na jumapili naingia kwa muhindi wangu asubuhi kutoka jioni
Hii ni man u bwanaHata Chelsea wajua ushindi uko peupe akashukiwa na kitu kizito
Jamani!!! Jamani!!!!Hahaha bundy ni simu au kiswaswadu
Mi simu yangu ni ya kawaida tu
Ila ulicho kipenda wewe mi nitanunua usihofu
Hakuna shida!!! Si ni life..Afica ni pagumuView attachment 2196455
Babu na mjukuu, kiliumanaJacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.
Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.
Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitioView attachment 2196419
Ndio mkomeee wanaume jamaniBabu na mjukuu, kiliumana
Na tutaishi nao tuHakuna shida!!! Si ni life..
Hahaha sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me bwana acha nile raha tu nitajenga wenye nyumba wakigoma kupangisha nyumba zao
Asante sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taratibu tu...Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...
Nina mpango nimwandalie mchele wa kyela kilo 20Juhudi zako hizo Shem....
Barikiwa..
Nimefurahi kwa huu ushauri wakoMapema sana na wewe....
Hapana...
WoyoooooNina mpango nimwandalie mchele wa kyela kilo 20
Auntie umeandikiwa si etiii sio muandiko wako huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimuelewa mtu, pesa inakuwaga nyongeza tu...
Kweli kabisa ila mwanamke anae jitambua ndio huzingatia uwezo wa mpenzi wakeKaka mwanamke anajua mwanaume aliyekuwa naye na uwezo alionao mpaka aamue kukuomba mamillion uko ni kwamba una uwezo wa kumpa kwahiyo acha apambane na huba lake azike au asafirishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hizi radi acha niendelee kuvuta shuka