Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli kabisa ila mwanamke anae jitambua ndio huzingatia uwezo wa mpenzi wake

Wengi wanasema mwanaume sio ndugu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa naanzaje kuwa na shida kumuomba Lee wangu mill 10 si nitakuwa namtafutia sababu tu ya kuachana na mimi

Najua uwezo wake namjua alivyo nikikwama nitamuomba kutokana na uwezo wake tu
 
Back
Top Bottom