Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mchezo wa Ligi Kuu England kati ya Bunley dhidi ya Southampton ulisimama kwa dakika kadhaa kupisha wachezaji Mohamed Elyounoussi na Yan Valery kupata futari kwasababu wapo kwenye mfungo.
Mchezo huo Bunley ilishinda kwa mabao 2-0 kwenye uwanja wa Turf Moor
Mchezo huo Bunley ilishinda kwa mabao 2-0 kwenye uwanja wa Turf Moor