Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,831
- 183,028
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko sawa hata jua kuonekana kwa bahati ila kibaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko sawa hata jua kuonekana kwa bahati ila kibaha
Awwww santeee[emoji126][emoji126][emoji126]Hahaha bundy ni simu au kiswaswadu
Mi simu yangu ni ya kawaida tu
Ila ulicho kipenda wewe mi nitanunua usihofu
Wacha bwana!Sawa ila roha ya uasi ndio inayo farijika kwa pesa
Upendo ni thamani halisi ya mtu
Kabisa.Tusidanganyane jamani upendo uwepo na pesa iwepo sio pesa labda mamilion hapana mpenzi wako inatokea ana shida msaidie na sio mpaka muombwe muwe mnajiongeza tu kuwapa bila kuombwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie unaupiga sana umepata wa kukuhonga simu tena macho 3 ya mill 3
Tutakomaje kwa utamu mliokuwa nao walimbwende mmebarikiwa mautamu ova asali mbichi ile ya Tabora! Mkitukula na Koni ndio iiiiiiissssss!!!!! Mnatumaliza tunabaki tumetoa macho kama mjusi kabanwa na mlango[emoji3]Ndio mkomeee wanaume jamani
Kwa hiyo mimi huniamini Auntie[emoji28]Me bwana acha tu nimwamini
Moyo unasukuma damu tu.Yatakuwa yanakwama moyoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanajitoa au vits mbovu
Nimekuwa mpoleHahahahahaha
Naona ndugu yetu ukali wote unapungua taratibu...Kweli auntie ujue anamuweza. [emoji1787][emoji1787]
Kwa kuwa wewe upo Home Auntie?Nyieeee hii mvua rahaaaaa [emoji847][emoji847]
Sawa muda in mwalimu mzuriHii ni man u bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka mwanamke anajua mwanaume aliyekuwa naye na uwezo alionao mpaka aamue kukuomba mamillion uko ni kwamba una uwezo wa kumpa kwahiyo acha apambane na huba lake azike au asafirishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hizi radi acha niendelee kuvuta shuka
Ndiyo mapenzi wakati mwingine yako hivyo Shem...pole.nimeambiwa siwezi kulipataa
Najifunza kubembeleza tuJamani!!! Jamani!!!!
Hiyo sentensi ya mwisho hiyo......Basi sawa.
Nyieeeee[emoji28][emoji28]He he la watu wawili si unajua lilivyo tamu huku umemuweka miguu babe huku mnalishana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana auntie ninachojua uko na 13 pro max basiii hayo mengine sitaki hata kujua
Pale Dec inavyokaribia ninavyosubiri zawadi [emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani imekuwaje kajulikana tapeli ila nami aliyeniloga kushinda makapuku tu Mungu anamuona sijui hata yanayoendelea
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jana alikuwa na baba yake rihana picha zinatembea tu