Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tusidanganyane jamani upendo uwepo na pesa iwepo sio pesa labda mamilion hapana mpenzi wako inatokea ana shida msaidie na sio mpaka muombwe muwe mnajiongeza tu kuwapa bila kuombwa
Ulicho sema ni kweli

Kumhudumia mpenzi ni wajibu wetu wanaume lakini inatokoea mwanamke anaomba hela ambayo iko nje ya uwezo wa mpenzi wake

Hapo mwanaume atafanyaje si ataonekana hamjali

Maisha ili yaende lazima mzani uwe sawa
 
Kaka mwanamke anajua mwanaume aliyekuwa naye na uwezo alionao mpaka aamue kukuomba mamillion uko ni kwamba una uwezo wa kumpa kwahiyo acha apambane na huba lake azike au asafirishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na hizi radi acha niendelee kuvuta shuka
 
Back
Top Bottom