makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Popote alipo obe mwambie nina salaam zake za kutosha.Ankoo Obe salaam zimefika wewe kibokooooo
Ilikuwajeeeekuwajeeeee lakini
Popote alipo obe mwambie nina salaam zake za kutosha.Ankoo Obe salaam zimefika wewe kibokooooo
Ilikuwajeeeekuwajeeeee lakini
Ni site kuna warembo wengii kuzidi wakina maimunaa wakoo...anko mimi bado swali langu hujalijibu kabisa Kikuu ni nini?
Yuko kisemvule kwa mchepuko mkuuPopote alipo obe mwambie nina salaam zake za kutosha.
......hapo sasa utakuwa umefanya makosa maana mimi namba yako niliyompa sio ile unayoitumia. Ilibidi nifanye vile maana alisema anataka kuja mitaa ya nyumbani kwako akiwa na kikundi cha wasanuaji aje akujazie watu. Wewe ndugu yangu ikabidi nimpe namba akalainika.Ambacho sijapenda ni wewe kumsanua ile ishu na unajua akijua ataniganda kama kipindi kile ..na mm nmemwambia rafk yake apewe namba zako ili ngoma iwe drooo...sema yukoo vizurii
Sasa anko kwanini ulikuwa hujaniambia, huk ndiko kunanifaa, biashara yangu ya ufuta na korosho si itapata watejaNi site kuna warembo wengii kuzidi wakina maimunaa wakoo
Ndugu yangu wa daaamu kabisa, salama mkuu?...BH aachwe apumzike, anakusalimia sana.
Hahhaha aisee
A friend of mine aliorder suti kupitia kikuu ,akawa excited kuona suti yake .. alipopokea hiyo delivery alipewa suti ya mtoto wa miaka 6 .
Kwa vifaa vingine labda wapo vizuri ila kwenye oufits hapana
Hapana binamu kanipigia na namba kasema umempa wewe jana ulivowaita kwenye ile pub na mimi nmefanya maksudiiii....alafu sasa au ngoja nisiendelee......hapo sasa utakuwa umefanya makosa maana mimi namba yako niliyompa sio ile unayoitumia. Ilibidi nifanye vile maana alisema anataka kuja mitaa ya nyumbani kwako akiwa na kikundi cha wasanuaji aje akujazie watu. Wewe ndugu yangu ikabidi nimpe namba akalainika.
Kule nitaenda tena maana yule alikuwa mfanyakazi wa posta kazi yake kulamba stamp (stamp licking) na akapata part time kupuliza mabaluni (blowing balloons) ana uzoefu
Ndugu yangu wa daaamu kabisa, salama mkuu?
Niko poa sana Makaveli...Ni salama wa salmin, sijui wewe bibie.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sawaNataka kupunguza mizigo nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani[emoji28]Tangu aokoke hata jukaani haonekani.
Pyuuuuuuu!!!!!Huna ujualo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Liniepuke mimi[emoji2]Ban inakuhusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani sijipendi!!
Mzee mwenzangu ujue mie sio mgeni wa mtaa huu wa makapuku, sisi ndio watu wa mwanzo mwanzo kuhamia mtaa huu, umeona ule mwembe mimi ndio niliupanda, hapa mtaa wa nyuma nina kibanda changu nimepangisha.Mweeeh!! Mgeni hebu tulia kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Loc. Mtu chake...hahahaha.karibu iftar