Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana binamu kanipigia na namba kasema umempa wewe jana ulivowaita kwenye ile pub na mimi nmefanya maksudiiii....alafu sasa au ngoja nisiendelee
...anataka kutuchonganisha hyo. Mimi nilivyowaita nia yangu ilikuwa kama nilivyokueleza kuhusu mdogo wake lakini ndiyo amefunga ila nitafanya kama ulivyofanya juzi
 
...anataka kutuchonganisha hyo. Mimi nilivyowaita nia yangu ilikuwa kama nilivyokueleza kuhusu mdogo wake lakini ndiyo amefunga ila nitafanya kama ulivyofanya juzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu usinikumbushe...ile formula yako kuwa mtu akishafuturu anakuwa huru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom