Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ila Kikuu [emoji23][emoji23]
Hivi Jumia bado wapo wenyewe ?
Ila Kikuu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi umeelewaje lakini hiyo kupokelewaWeeeh! Mbona mie hamjawahi kunipokea[emoji2369][emoji2369]
Mnapendelea eeh!!!
Huyu ndo mama mchungaji wa obe BH?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini lakini mama mchungaji kwamba mnatuogopa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mawazo yako sijawahigi kuwaza hivi ikizama tunamwachia MunguIkizama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapole sisi ukibisha basiHiyo wapole umeiweka bahati mbaya au?
🤣🤣🤣🤣 kuna mtu humu humwambii kitu kuhusu kikuuuIla Kikuu [emoji23][emoji23]
Hivi Jumia bado wapo wenyewe ?
Jumia nakumbuka nilishawahi agiza walivouleta nikawarudishaIla Kikuu [emoji23][emoji23]
Hivi Jumia bado wapo wenyewe ?
Ankoo Obe salaam zimefika wewe kibokooooo
Ilikuwajeeeekuwajeeeee lakini
...BH aachwe apumzike, anakusalimia sana.Huyu ndo mama mchungaji wa obe BH?
Hahhaha aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mtu humu humwambii kitu kuhusu kikuuu
Nikahisi hao ndo wapo vizuri kidogoJumia nakumbuka nilishawahi agiza walivouleta nikawarudisha
Wewe miyeyusho saana [emoji1787]dah,nimewaza vingine kbs
Ambacho sijapenda ni wewe kumsanua ile ishu na unajua akijua ataniganda kama kipindi kile ..na mm nmemwambia rafk yake apewe namba zako ili ngoma iwe drooo...sema yukoo vizurii...anko nimefurahi zimefika. Ilikuwa tu kama ulivyoshauri nami nikaongeza madikodiko kidogo mambo yakakaa sawa. Kwa hiyo sasa maamuzi gani umefanya maana ulitafutwa mimi nikaona ninyamaze ili nisiharibu mipango yako miovu
Dr. Tulia ni spika wa bunge huyo[emoji1787][emoji1787]Mweeeh!! Mgeni hebu tulia kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NduguDr. Tulia ni spika wa bunge huyo[emoji1787][emoji1787]
...anko mimi bado swali langu hujalijibu kabisa Kikuu ni nini?Jumia nakumbuka nilishawahi agiza walivouleta nikawarudisha
Master Master
Chief...heshima kwakooMaster Master
Vitu gani haswa unaagiza shunie akee?Sanaaa tu maka akee naagiza tu