Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hahahahaha naona unanitisha sasaHiyo zawadi atakupatia Auntie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe subiri utaniambia[emoji28]
Hahahahaha naona unanitisha sasaHiyo zawadi atakupatia Auntie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe subiri utaniambia[emoji28]
Hakuna wa kukusuta HS....Nimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sanaDota unataka kusema umementioniwa na wachambaji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora mie sikukumention[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vile Melo hanaga hiyana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Uzi, nitamchek Melo chap...
Namwambie ananichafua huyo uufute, tunachafuana[emoji28]
Na tunaolala zaidi ya saa10 je?
Sijakumention mtu Chake..kuna nn tena
Acha wivu binti.Hiyo zawadi atakupatia Auntie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe subiri utaniambia[emoji28]
[emoji2][emoji2] Amina..Mimi nimeokoka na nampenda BWANA aiseee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani unapitaje juu juu dear yaani mda sana sijakuona nimesema leo ngoja tu nimwite mrembo mzuri mzuri [emoji8]Awwh this is so sweet of you [emoji3531]
Miss you too dearest
Nipo aisee sema huwa napita kwa juu juu .
Naenda kuomba ukoo kwa Dangote, ndugu gani hamlipi madeni yangu?Ndio ndugu zako huna namna
Ni yule Aunty wa Bunju[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimehamia karibu na nyie ili niwe nawafuatilia vizuri kabla hamjatuchafulia ukoo na vitu vya ajabu. Wakati ukoo wetu saafi kabisa.
Kumbe si maki alimuita[emoji2369][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue utasababisha mzee mtu chake aje ajue ameitwa
Jamanii pole auntie yanguAuntie usilete ya majoka [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nina phobia na hawa viumbe.
He he he he..tuliaHovyooo!!
Mbutaaaaa[emoji23]
Bahati nzuri melo mwenyewe anapenda ubuyu, atauacha acha hadi ufikishe page elfu mbili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Uzi, nitamchek Melo chap...
Namwambie ananichafua huyo uufute, tunachafuana[emoji28]
Kazini kuna mtu anayo ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamanii me siwezi kabisa acha tu nitumie wereva yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaivalisha Cover la Iphone halisi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni kweli kabisaaa bila hata utafiti, ukifikiria tu unaona ni kweli. Mafurushi.
Sasa mbona mimi huwa hunihadithii? Usijali sitoscreen shot[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie upo kama mimi woiiii nikiwa na kitu nalia halafu nikimwadithia rafiki au ndugu napata unafuu