Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Karibu sana dearOoh Asante , nitakuwa napita kwa karibu sasa [emoji7]
Karibu sana dearOoh Asante , nitakuwa napita kwa karibu sasa [emoji7]
@Makiwendo hivi huku panaitwaje vile?Safi sana auntie [emoji8][emoji8][emoji8] kwahiyo upo pande ipi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niache unanitafuta nini lakiniTeh teh yeeeh!! Mtoto mlito mlito[emoji6][emoji6]
Kwamba hupajui@Makiwendo hivi huku panaitwaje vile?
Nihamishe chako? Kikihama hakirudi lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mimi jamani..
Hebu fanya kama unakihamisha halafu ukirudishe[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana
Njema hawajambo hapo ulipo dadaWazima kaka habari yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni yule Aunty wa Bunju[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna simu bora hapa duniani kama tekno auntie, ila ni wivu tu wa watu kutuchafulia simu zetu[emoji1787][emoji1787]Kazini kuna mtu anayo ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamanii me siwezi kabisa acha tu nitumie wereva yangu
Sasa je, baada ya kesi ndio utanielezea ugomvi ulihusu nini. Na kama ni suala zito naenda kulianzisha tenaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba baada ya kesi ndiyo unauliza?
Nimecheka[emoji2]
Ndugu mnavaa magramu na madeni yangu hamnilipi[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787] usikatae ndugu zako hata kama hatuna hela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana auntie hata ukiscreenshot sijali wala nini kuna mtu aliniambi shunie picha zako zinasambaa nikamjibu ndio vizuri cha nitrend tu kwa watu alichoka
Mmmmh we mgeni ili nimwambie shunie dadangu ajipatie wifiii@Makiwendo hivi huku panaitwaje vile?
Wazima kabisa mndali, karibu.Wazima wote humu ndani?
msema kweli mpenzi wa munguWeeeh!! Unanikania ndugu yangu hivi hivi[emoji2297][emoji2297]
Hahaha watu na tecno zenuHakuna simu bora hapa duniani kama tekno auntie, ila ni wivu tu wa watu kutuchafulia simu zetu[emoji1787][emoji1787]
Yaani mnaagiza then mnasubiri 4 weeks!! Sina huo uvumilivu auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani hawaamini kikuu nilipommaliza kumwambia tu vitu vinafika baada ya week 3 au 4
Daaah nyie kipindi kile jamani, hutamani kuweka simu chini woiiiiiHakuna wa kukusuta HS....
Umenikumbusha ile JF ya enzi zile[emoji23]
Unajisahaulisha eeh!!Hivi me unanidai
Bila energy drinks hatutoboi wallah[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mkifika mbinguni mnapewa energy zenu za kutosha na kalumbu mwenzio