Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,837
- 183,040
Ukiniita nikifika nacheeeka, yaani huo ndio msaada nitakaokupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi nakomaa kila iitwapo leo..
Kulia nimepunguza...
Vikinishinda si ninakuita...Maana ndugu yangu wewe na yake maneno yako[emoji114]
Usijali ndugu yangu nikifika si unanijua, nanunua kesi kwanza then baadae ndio nitakuuliza kwani ugomvi unahusu nini?