Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mimi nimeokoka na nampenda BWANA aiseee 😁😁😁😁
Mimi nimeokoka na nampenda BWANA aiseee 😁😁😁😁
Nimehamia karibu na nyie ili niwe nawafuatilia vizuri kabla hamjatuchafulia ukoo na vitu vya ajabu. Wakati ukoo wetu saafi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie kwani tupo karibu na wewe me najua ulipo mpaka tupande bus kuzaliwa mwisho wa mwaka auntie ni baraka sana
Kila nikiona Kikuu naikumbuka Iphone yakoIphone ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe popote ulipo God is watching you.
Hovyooo!!Nakosaje sasa Auntie Akeee..
Hiyo ni lazima, huna hata haja ya kuniomba...
Mimi huyu nakosaje?[emoji2]
Yangu keki Inifikie tu Auntie..Shughuli tutajua mbele kwa mbele..Hata kwenye chupa za kijani huko[emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndio Shunie, nimeona nianze tu kuwatandika viboko maana mnajua kuniweza[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Huyo Mzoee Auntie[emoji2]Khaaaa auntie jamani hajamaanisha mtu chake mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eenh mimi auntie
Hiyo zawadi atakupatia Auntie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Auntie mbona unanitisha sasa