Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua wewe Akili huna...
Umenikumbusha jana kwenye ule Uzi namna nilikuwa nacheka....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipa madeni yangu tumalizane. Lasivyo nakufungulia uzi, nitaunganisha na Shunie humo humo.
 
Kwahiyo nani hayupo karibu labda?[emoji57][emoji57]

Halafu unazaliwaje mwisho wa mwaka na wewe[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie kwani tupo karibu na wewe me najua ulipo mpaka tupande bus kuzaliwa mwisho wa mwaka auntie ni baraka sana
 
Dec 27 auntie hivi auntie makiii utakujapo kwa besidei eenh we si tupo karibu
Nakosaje sasa Auntie Akeee..
Hiyo ni lazima, huna hata haja ya kuniomba...
Mimi huyu nakosaje?[emoji2]

Yangu keki Inifikie tu Auntie..Shughuli tutajua mbele kwa mbele..Hata kwenye chupa za kijani huko[emoji2]
 
Back
Top Bottom