[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie kwani tupo karibu na wewe me najua ulipo mpaka tupande bus kuzaliwa mwisho wa mwaka auntie ni baraka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mama mchungaji au kuna sehemu umeharibu eenh kuhusu sisiNimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hutaki lilipwe au hutaki nilipiwe?Hapa hakuna kulipwa, bora tu nifute undugu kwa amani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Usitufanyie hivi auntieUzi utajumuisha kila mmoja na madhambi yake.
Soma je wajua we mzee nimeshakuwekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059][emoji3059]kuna nn tena
Auntie usilete ya majoka [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
mmmh,nani kasema .tumeanza lini? Si kweliEti wewe ndio mume wa Makiwendo
Watu wa ajabu ajabu ni kama nani?[emoji2]Nitafanyaje sasa na ndio mtu hawezi kuchagua ukoo. Unajikita tu uko na udungu na watu wa ajabu ajqbu basi tu unavumilia huku moyoni unaumia.
Niacheeee na utoto wangu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoto eti, dunia ina mambo hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mkifika mbinguni mnapewa energy zenu za kutosha na kalumbu mwenzioMimi nimeokoka na nampenda BWANA aiseee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ahsante. ShangaziSoma je wajua we mzee nimeshakuwekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23]Iphone ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe popote ulipo God is watching you.
Aah sasa hivi itabidi bakora zihusike. Tukiwaacha mtatuchafulia ukoo hivi hivi nawaona[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mambo yakijichanganya tunakuletea mabalaa...
Hakuna namna tuvumilie ndiyo Undungu/Urafiki...
Kuna gharama zake...
Weeweeeee!!!Ungekuwa na kichwa kama changu ungeringa sana[emoji1787][emoji1787]
Safi sana auntie [emoji8][emoji8][emoji8] kwahiyo upo pande ipi jamaniNimehamia karibu na nyie ili niwe nawafuatilia vizuri kabla hamjatuchafulia ukoo na vitu vya ajabu. Wakati ukoo wetu saafi kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila nikiona Kikuu naikumbuka Iphone yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki alonirogea ndugu zangu aombe nisimtambue. Nikimtambua nakihamishia usoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]