Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Sijapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi umependa hata kimoyo moyo
Nimemuelewa tu Christian 🤣
Sijapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi umependa hata kimoyo moyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna mzuka na FA kabisaaa, ndo maaana kipara aliweka kikosi kile, majembe yote nje. Focus n EPL na UCL.cocastic navyokuambiaga uweke akiba ya maneno uwe unasikia [emoji1787]
Ila sio kesi, mnaweza kupindua meza kibabe… mnadaiwa bao nyingine 3
Cc Saint Anne
Endelea kujipa moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna mzuka na FA kabisaaa, ndo maaana kipara aliweka kikosi kile, majembe yote nje. Focus n EPL na UCL.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] mpira nimeanza kufatilia tangu hujazaliwaa wee,Huyu dogo huwaga anajikalia tu lecture room pale yudizim hafatilii Mpira ila anaongea tu ooh tunanyanyua kwapa[emoji1787]
Ila wanaweza kutulipa.. Pep siyo mtu mzuri.
Huyo liverkuku aombee tukutane final UCL, atajua hajui.Endelea kujipa moyo
Na ungejua FA ilivyo na pochi nene kuwazidi haoo
....my lovely Makiwendo. Mbona nakuappreciate hivyo na zaidi kila wakati, yaani kabla ya jua kuzama nakuappreciate maneno mazuri haya na nyongeza naweka. Uko poa lakini
Ushindweee we mtoto mdogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] mpira nimeanza kufatilia tangu hujazaliwaa wee,
Uwe na adabu, nenda final kakutane na cheltako.
Tulicheza kukamilisha ratiba tyuuh, hatuna mzuka na FA.
...hujambo ABJAhsante jamani[emoji4]
Kila lenye heri liambatane nao[emoji1787][emoji929] | ORLANDO WAMETUA DAR [emoji1241]View attachment 2189477
Auntie unaendeleaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi umependa hata kimoyo moyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naaam simba guvu moyaaa. [emoji123]
Mtumie pm[emoji85][emoji85][emoji85]Mungu azidi tu kuniwekea mpenzi wangu [emoji8][emoji8][emoji8] kwa ajili yangu na familia yako [emoji847] nakupenda Lee wangu
We ndio mchawi wetu auntieKila lenye heri liambatane nao[emoji1787]
Auntie sijambo naendelea vizuri kwakweliAuntie unaendeleaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niache auntie siku moja moja sio mbayaMtumie pm[emoji85][emoji85][emoji85]