Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hivi we mzee umeelewa kweli hapopunguzeni rafiki wasio na tija. Groups zisizo na faida. Fanya mambo yako zaidi
Hivi we mzee umeelewa kweli hapopunguzeni rafiki wasio na tija. Groups zisizo na faida. Fanya mambo yako zaidi
Ahsante jamaniNimekumiss

Kibongee, nakusalimiaNa adui ni mtu wako wa karibu sanaa auntie
Nakusalimia pia kipenziKibongee, nakusalimia
Asantee dyaaNakusalimia pia kipenzi
Nimefurahi kukuona tena makapukuAsantee dyaa
Kabisa, kabisa Auntie..Na adui ni mtu wako wa karibu sanaa auntie
Umeamkaje auntie lakiniKabisa, kabisa Auntie..
Nimeamka poa kabisa Auntie...Umeamkaje auntie lakini
Asantee jamani, nami nimefurahi kuona mu wazima na upendo teleNimefurahi kukuona tena makapuku

Sijapona auntie ila kidogo sijambo huwa sipatani na ugonjwa wa mafua na kifua vikinipata vinanitesa sanaNimeamka poa kabisa Auntie...
Vipi wewe Mumy? Umepona?
Kama kawaida ya makapuku yetu dearAsantee jamani, nami nimefurahi kuona mu wazima na upendo tele![]()



DILUNGA NJE WIKI NNE !!
amefanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini
na sasa imefahamika atakuwa nje kwa muda usiozidi wiki nne kabla ya kurudi tena uwanjani kukiwasha.
ORLANDO KUITESTI VAR LEO !!
watakapokuwa wakifanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho uwanjani hapo.
leo saa 4:00 asubuhi, lakini imeahirishwa kwani inatakiwa kujaribiwa muda kamili wa mchezo husika.
ambao tayari wapo nchini Tanzania