Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Eric Ten Haag moja kati ya vitu ambavyo anataka vipewe uzito pale Old Trafford ni:
-Yeye kuwa na sauti kwenye dirisha la usajili
-Kuingia na bench lake la ufundi (amefanikiwa)
Lakini wakati anafanya majadiliano na Bwana Fletcher kuna vitu vingi walipishana juu ya kikosi cha United na namna anataka kiwe
Inasemekana anahitaji mabadiliko makubwa sana ambayo kwa jicho la kawaida ni ngumu

| ORLANDO WAMETUA DAR 