Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,359
Mwenyewe huwa unanitesa mno...Asante auntie yaani me huwa unanitesa sana na unanikomesha sana
Pole Aunty akee..
Mwenyewe huwa unanitesa mno...Asante auntie yaani me huwa unanitesa sana na unanikomesha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naaam simba guvu moyaaa. [emoji123]
Yaaaaani....Acha tu Auntie..Acha auntiee watoto jamaniii halafu wadogo
Hahhaha kesho nina mualiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naanzaje kunywa heinekenn za moto kwakweli siwezi nitakunywa tu za baridi acha nifeeeeeMwenyewe huwa unanitesa mno...
Pole Aunty akee..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sauti ya Ahmed Ally...
[emoji28][emoji28][emoji28]Ila Lee [emoji114]
Auntie kwanza anaelewa kama mama kafa sawa lakini hapo hajui kama hatamuona tena masikini eeh Mungu haya mambo uyasikie tuYaaaaani....Acha tu Auntie..
Hapo sijui hata anawaza nini maskini[emoji24]
Pengine anawaza maisha pasipo Mama yatakuwaje[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzoeee tu auntie[emoji28][emoji28][emoji28]
Kafanyaje?
Kitu amenifanyia jana...Namwachia Mungu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaha kesho nina mualiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naanzaje kunywa heinekenn za moto kwakweli siwezi nitakunywa tu za baridi acha nifeeeee
Auntie acha....Auntie kwanza anaelewa kama mama kafa sawa lakini hapo hajui kama hatamuona tena masikini eeh Mungu haya mambo uyasikie tu
[emoji23][emoji23][emoji23] Auntie huyu mwanaume mmoja na nusu acha tu nimsifie nikiwa hai aone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia auntie acha nife liwalo na liwe za moto sinywi nataka kuzima mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho Itajulikana..yanaweza kuwa yamelegea kidogo...
Kabisa Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23] Auntie huyu mwanaume mmoja na nusu acha tu nimsifie nikiwa hai aone
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia auntie acha nife liwalo na liwe za moto sinywi nataka kuzima mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]