God izi wochingi yu.Ndioooo auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]God izi wochingi yu.
Lazima Heineken zilihusika hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie mma shunie majiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo
Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
Kiunoni[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga wewe...Cheni unavaa wapi wewe?
Nitaacha laana, shauri zenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niache...Halafu wivu siyo..
Mwenzako nimeshapewa offer hapa...
Jamani wasambaa mmeanza kuwa kama Wahaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao
Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii
Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepata auntie tutaenda Indira ghandi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani tunaokaa stoo tumekukosea nini auntie? Sijapenda[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787]Nakukumbusha mimi mwenzio sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168238
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii kauli inanitesa jamani, ufunguo wa chumba changu nitakuwa natembea nao kwenye nyonyo.
Story aside, kwahiyo auntie umevaa milioni mbili shingoni eti?
Kwahiyo yule kaka akasema mwenzie akaa store?Nakukumbusha mimi mwenzio sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168238
Kama mimi jana kila nikisoma zile message zao napata hasira.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu nipo hivyo nikikumbuka tu naanza upya huyu mbwa aombee tu nipate ban
Kwani dunia yetu hii sasa[emoji24][emoji23]Na bado...
Kiswaswadu ndiyo kinakufaa wewe...