Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ahsante Auntie akee[emoji8][emoji8]Utanipitia huku kwa Bwana Mwajiri[emoji3]

Uswekeni tena[emoji23][emoji23]Auntie basi[emoji2]Mstahi sasa...Tumalize Kwaresma..Akiendelea tena..Nitakuambia cha kufanya..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie we ni nani nisikusilize hivi Indira ghandi kwenyewe anapajua [emoji1787][emoji1787] au basi tuishie hapa
 
Hii kauli inanitesa jamani, ufunguo wa chumba changu nitakuwa natembea nao kwenye nyonyo.

Story aside, kwahiyo auntie umevaa milioni mbili shingoni eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashangazi mna nini? [emoji23][emoji23]Kwamba Ufunguo unakaa kwenye nyonyo!!!

Ndiyo kama hivyo..Shingoni Auntie anatembea na 2M...Hapo hajakuwekea gharama za kuiosha...Utaweza kweli wewe ninavyokujua..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ubahili wa auntie yangu sijui kama ataweza
 
.
20220301_180716.jpg
 
Back
Top Bottom