Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,824
- 183,022
Aaah mie ninunulieni tu zile za buku. Hiyo ikipotea nitafufua mizimu yote kwa kilio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashangazi mna nini? [emoji23][emoji23]Kwamba Ufunguo unakaa kwenye nyonyo!!!
Ndiyo kama hivyo..Shingoni Auntie anatembea na 2M...Hapo hajakuwekea gharama za kuiosha...Utaweza kweli wewe ninavyokujua..
Funguo inabidi ikae kwenye nyonyo lasivyo ni balaa.