Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameridhia rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kujiunga kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuifanya Jumuiya kuwa na Nchi saba.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Uhuru Kenyatta ametangaza hilo wakati wa Mkutano wa Viongozi hao.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Uhuru Kenyatta ametangaza hilo wakati wa Mkutano wa Viongozi hao.