Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie mma shunie majiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo

Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
Tusifokeane bwana[emoji1][emoji1][emoji1]!!kwani kuna habari ganiii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Take Us slow Auntie!!! Pls...

Eti Shunie mma..Shunie majii[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23]
Nimecheka hivyo...
Auntie naomba hata gram moja basi..Nami nitoe hivi vyuma chakavu maskioni[emoji23]
[emoji1][emoji1]vyuma chakavu etiii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao

Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii

Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
Sawaaa!ila niambie kinaendelea nini !kama vipi nikodo baasi nna,sijapata ban siku nyingi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepata auntie tutaenda Indira ghandi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]uswekeni kwiooo!!makiwenddo!
Mwanao mpe maji anywee

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom