Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
SIMBA MASHABIKI 35,000 KAMA KAWAIDA
.
Meneja Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amesema wameruhusiwa kuingiza mashabiki 35, 000 na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) katika mchezo huo ikiwa ni idadi inayotumika siku zote japo walitamani zaidi kutokana na umuhimu wa mechi yenyewe.