Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimecheka sana sana kwakweli sijui naona kikubwa uhai tu mwenyewe nimejiona nimeshakuwa mchumba wa mtu hata sielewi nimefikaje fikaje kwenye uchumba

Akiona auntie yangu Espy Eroni atadai vitenge halafu mwambie asiniulize maswali sitaki
Sasa hivi sitaki vitenge, nataka aifoni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti shunie na rafiki zake wanataka kuweka thread mimi huyu mnikomeeee na story zenu za kutunga uko pm ebu achaneni na mimi ongeeni mambo yenu
 
Back
Top Bottom