Makapuku Forum

Makapuku Forum

Auntie!!!..
Hebu mpotezee Mama...Atakupotezea muda wako tu..
Kwamba mambo ya Ukimwi tena? Mbona ni kama Issue za kitoto sana Aunt akee?

Hivi wanakujua vyema lakini?[emoji2]Hawajui ni vile siku hizi umeamua tu kutulia zako hapa Makapuku? Hawajui zama zile uliwahi kumfanya mtu akimbie ID hadi leo[emoji2]
Nacheka jamani...BTW..Potezea Auntie..
Naamini atakusikiliza ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani auntie watu wananichokonoa na habari zao za kutunga ujue halafu sina mda nao mbwa hawa


Yaani kama thread nitaweka pamoja na chart zake si anataka thread nitamfurahisha shenzy huyu

Nimejitulia zangu makapuku watu wananifata fata
Wapotezee Auntie..
 
Back
Top Bottom