Kweli umekereka mpaka umeandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sema nini, wapotezee kwanza wanakuogopa. Wangekua wanajiamini wangekuandikia kama hivi. Ushawaongezea cha kujadili PM wakiendelea tena mwaga ubuyu. Daaah Sema zile chat nimeshtuka.
Wanawake huku msipotumia akili mtavurugwa na mtu mmoja wakati nyie mnavurugana mwenzenu anawinda mboga nyingine.
Naomba wasitiri kwa hili maana zile chat ukizileta huku uwiiii. Ila nyie mnaohusika mnajijua. Huyo mwanaume wenu anawavuruga. Ni vile tu sio wajanja kujua tabia za wanaume wasiojiamini.