Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
D huyu dada kazidi ujue sio mara moja kila siku shunie yaani anikome anikome mbwa huyuuuuPenye wengi kuna mengi..
Humu unaweza sikia kitu cha kuhusishwa nacho mpaka we mwenyewe ukashtuka hiki ni changu kweli au wamekosea jina!!
Muhimu ni kupotezea, ukiona ni too much unalala nae mbele tu![]()
Nikipotea kidogo walimwengu wanakukwazalove you more
Hahahahaha hapo mwishoni😅😅😅😅Auntie acha tu yaani kuna mdada kanitungia habari zake uko nabaki nashangaa tu eti nataka kuweka thread nimseme mtu ana ukimwi unajua unabaki kushangaa sababu habari huzijui yaani unabaki unashangaa
Mara shunie hivi mara shunie vile we dada nini unanitaka lakini naomba uniache nitaweka chart zako ooh mimi naongea kwa uthibitisho shauri yako
Mara karudiana na ex wake sijui kumrusha roho mtu unikome we mbwaaaNikipotea kidogo walimwengu wanakukwaza
Sema hapa umeandika kama unamanisha ni mimi🤣🤣🤣🤣Mara karudiana na ex wake sijui kumrusha roho mtu unikome we mbwaaa
Namalizia na chart zake shenzy huyu anikome kabisa kuniongelea mimi aongee mambo zakeHahahahaha hapo mwishoni![]()
Msamehe tu ....Namalizia na chart zake shenzy huyu anikome kabisa kuniongelea mimi aongee mambo zake
Auntie!!!..Auntie acha tu yaani kuna mdada kanitungia habari zake uko nabaki nashangaa tu eti nataka kuweka thread nimseme mtu ana ukimwi unajua unabaki kushangaa sababu habari huzijui yaani unabaki unashangaa
Mara shunie hivi mara shunie vile we dada nini unanitaka lakini naomba uniache nitaweka chart zako ooh mimi naongea kwa uthibitisho shauri yako
Hawajui ni vile siku hizi umeamua tu kutulia zako hapa Makapuku? Hawajui zama zile uliwahi kumfanya mtu akimbie ID hadi leo
Kazidi huyu mbwa kila siku kaniweka moyoniMsamehe tu ....
Hahahaha ulivosema unikome..Babe![]()
Ila kama ananisemea mimi sikuwahi kuwa ex...nilikuwa mapumzikoniMara karudiana na ex wake sijui kumrusha roho mtu unikome we mbwaaa
Auntie!!!..
Hebu mpotezee Mama...Atakupotezea muda wako tu..
Kwamba mambo ya Ukimwi tena? Mbona ni kama Issue za kitoto sana Aunt akee?
Hivi wanakujua vyema lakini?Hawajui ni vile siku hizi umeamua tu kutulia zako hapa Makapuku? Hawajui zama zile uliwahi kumfanya mtu akimbie ID hadi leo
Nacheka jamani...BTW..Potezea Auntie..




yaani auntie watu wananichokonoa na habari zao za kutunga ujue halafu sina mda nao mbwa hawa
Shem darling....mrembo wangu akichafukwaa huwa ni shida ...
Shem bhana..
Haikuhusu babe hataHahahaha ulivosema unikome..
Msamehee babeKazidi huyu mbwa kila siku kaniweka moyoni
Hahahahaha najuaa hainihusu...Haikuhusu babe hata