Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niliforce kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka auntie niache na chaka langu la zamani yaani kama namuona auntie Espy Eroni nimesema maswali sitakiiii
Kama ni siku umenichekesha ni leo Auntie..Nimecheka jamani
Na mimi siulizi swali..Ila kuna mambo yanachekesha jamani...
Aki Mapenzi wewe!!! Enjoy Auntie....Enjoy..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom