Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Emoji ya Fire please [emoji28]Roho yangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Emoji ya Fire please [emoji28]Roho yangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hii mbona trela, picha kamili bado, usiombe hiyo siku tuone zulia la manyoya na rimote tatu... Huwa Kuna jaa mashairi ya Mario mwanzo mwisho [emoji28][emoji28]
Hahahahah mbona jana nimepost na sijaimba mashairi ya mariooHii mbona trela, picha kamili bado, usiombe hiyo siku tuone zulia la manyoya na rimote tatu... Huwa Kuna jaa mashairi ya Mario mwanzo mwisho [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kanenepaAlikuwa anabadili matundu ya mkanda kila siku
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Emoji ya Fire please [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una maneno et chaka la zamani [emoji3]
Saa moja usikuMnyama anacheza saa ngapi Shunie
Hahahahaha ankoo anatakiwa aguse tena pale kwenye mshonoHahahahah mbona jana nimepost na sijaimba mashairi ya marioo
Binamu heshima yako....yule dada ulimwambia kwako umeunga solar power aje kuchaji simu anakutafuta hakupati!? Ananipigia hapa
Remote tatu,tumeanza kuongea lugha moja sasaBaba wawili ulimiss hizi remote View attachment 2157161
Umeona sasa rafikiIla Nige ana vituko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuambia Remote ya Sony,DSTV na zulia la manyoya[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha .shangazi cjatekwa na mtu.nilikua tyt kdg,mambo vp lknMzee mtu chake nani amekuteka jamani
shangazi nipo,kn mambo yameni tyt kdg.nakumiss sanamtu chake we mzee jamani uko wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hi utu ya kiba hiii mpaka kuwe na chupa za kijani ngoja mchumba angu Lee aninunulie box la heinekenn yaani siku hiyo itakuwa siku ya utu tu ya kibaRemote tatu,tumeanza kuongea lugha moja sasa
Dj tuletee Utu ya King Kiba
Pole sana we mzee jamani nilikumiss sanaahahahahaha .shangazi cjatekwa na mtu.nilikua tyt kdg,mambo vp lkn
Nakumiss mnooo we mzeeshangazi nipo,kn mambo yameni tyt kdg.nakumiss sana
Tukutane naniliu park..Saa moja usiku
ahsante shangazi ! Nami nilikmiss mnooPole sana we mzee jamani nilikumiss sanaa
hahahaha.ahsante shangaziNakumiss mnooo we mzee