Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Meya wa Melitopol, Ivan Fedorov nchini Ukraine ambaye alitekwa tangu March 11,2022 na Wanajeshi wa Urusi ameachiwa huru kwa kubadilishana na Wanajeshi wa Urusi ambao walikuwa wanashikiliwa na Jeshi la Ukraine.
Baada ya kuachiwa Meya huyo ameongea na Rais wa Ukraine na kumshukuru kwa kutomtekeleza badala yake Serikali imepambana na kumuokoa na amemuahudi Rais kuwa atarudi kuendeleza mapambano baada ya siku moja au mbili za mapumziko.
Wanajeshi 9 wa Urusi walioachiwa ni wenye umri mdogo wa kati ya miaka 18 hadi 19.