Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978



ebu niambie basi baba wawili kimemsibu nini auntie



ebu niambie basi baba wawili kimemsibu nini auntie
Kama hampendi anko wake aendelee tu
Achana nao babe mimi ni muhimu sana kuliko simbaMchumba simba wananivurugaa
Kweliii nilikuwa nakusubiria kwa hamu kubwaaaAchana nao babe mimi ni muhimu sana kuliko simba
hahahahahaSanaaa we mzee
hahahahaAchana nao babe mimi ni muhimu sana kuliko simba
hahahahaha, sawa shangaziJamani usipotee hivi sana we mzee
Anko unaweza kujitahidi kutokuwa na wivu kidogo ,najua huamini unachokiona ila mdo ukwelii napendwaaaa tenaaaa tena mahaba ndi ndi ndi...anko wangu ni master, yaani legendary king Kong konki konki, jiwe stone, mukulu bilanga, mopao suke chile mutu ya watu, alishaimbwa na band ya Akudo.
Siwezi kumuharibia hata kidogo huyu kaka wa mazaangu.
Sema akija hapa hachelewi kunibagaza.
Mapenzi yenu ni mfano kwa vijana ambao wanapenda kuhamisha magoli kama Nigendako
Na unaendajee bila mm kuwa na weweWoiiii nipo lindo mie
Hapana shemeji, sio nongwa ila kila nikishika simu kuandika jambo kuhusu anko wangu basi roho inapata kigagaziko. Anko wangu ni kocha, labda kama hajakuambia
...kweli kabisa, namba mpya hiyo hata iweje siwezi kuigawa anko.Anko unaweza kujitahidi kutokuwa na wivu kidogo ,najua huamini unachokiona ila mdo ukwelii napendwaaaa tenaaaa tena mahaba ndi ndi ndi
Mengine yote mimekuachia wewe na namba yangu mpya usigawe ...kwenye hili najua uko na mimi
hahahaha leo ndo nimejua unayemteka shangazi ShunieAnko unaweza kujitahidi kutokuwa na wivu kidogo ,najua huamini unachokiona ila mdo ukwelii napendwaaaa tenaaaa tena mahaba ndi ndi ndi
Mengine yote mimekuachia wewe na namba yangu mpya usigawe ...kwenye hili najua uko na mimi
Ankoo mbona mimi na wwe ni ndugu kabisa?Hapana shemeji, sio nongwa ila kila nikishika simu kuandika jambo kuhusu anko wangu basi roho inapata kigagaziko. Anko wangu ni kocha, labda kama hajakuambia
hahahaha.shangazi na anko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na shakira ukampangajee leo ...ila ankooo wewe kibokooo...kweli kabisa, namba mpya hiyo hata iweje siwezi kuigawa anko.
Ila kwa mwendo huu wa Simba nikiigawa itabidi tusameheane tu
hahahaha dah.asifanye hivyoWe muache amuharibie mjomba ake
swadaktaTulizo la nafsi yakee
🤗swadakta