Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220214-040429_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220214-040443_Opera%20Mini.jpg
 
SURE BOY KUIKOSA BIASHARA LEO [emoji599]
.
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amethibitisha kuwa kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Biashara United anatarajia kumkosa kiungo Abubakari Salum ‘Sure Boy’ ambaye ameumia mazoezini.
Screenshot_20220215-083717_Instagram.jpg
 
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

[emoji956]RALLY BWALYA UPDATES [emoji956]

[emoji367]Kutoka kwenye vyanzo vyangu ni kuwa jana Skauti kutoka Afrika Kusini wametimiza mechi zao takribani tatu za kumtazama Kiungo Rally Bwalya wa Simba

[emoji367]Nyota huyo amekuwa akihitajika PSL tangu msimu uliopita, miamba mitatu ikimtazama kama Kiungo anaefaa kucheza kwenye timu zao (Ijapo jana walikuwepo wa timu moja pekee)

[emoji367]Msimamo wa RB tangu msimu uliopita ulikuwa ni kubaki Msimbazi, ijapo bado haifahamiki mwishoni mwa msimu huu atakuwa na msimamo gani ila bado yupo kwenye rada

[emoji3574]Bado hakuna ofa yoyote iliyotumwa Simba wala jitihada za kuwasiliana na upande wa Bwalya, bado timu zinatathimini mwishoni mwa msimu

Screenshot_20220215-084057_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom