Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini.
Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ameyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili mafaniko katika Sekta ya elimu kwa mwaka mmoja wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom.
Amesema ndani ya utawala wa Rais Samia tayari alishatoa kibali cha kuajiri Walimu 6,949 ambapo Walimu 3,000 walikuwa Walimu wa sayansi kwa Shule za Sekondari na wameshaajiriwa na wako kwenye vituo vya kazi.
Bashungwa amesema katika kuendelea kutatua tatizo la uhaba wa Walimu, tayari Ofisi hiyo imeomba kibali hicho kwa Rais ili aridhie kuajiriwa Walimu hao.

Dickson Job (adhabu)