Bm3 kwenye ubora wake🤣🤣🤣🤣
Utasikia wao wanadai mama hatupendi , polisi changamoto
Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba.
"Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila.
Binadamuuuuu.
View attachment 2071132











Pa moto kweli , fanta zipo?Hivi hapa kitambaa cheupe ndio pako hiviii![]()
Soda zote zipoPa moto kweli , fanta zipo?